Sunday, November 2, 2014

WAKUBWA TU 19+:;DEREVA AFUMWA AKIFANYA MAPENZI LIVE NAWAKE ZA WATU ZIONE PICHA



Kudaadeki! Watanzania wanaendelea kufanya mambo ya kutisha, tukio la dereva wa malori, Asajile au kwa jina maarufu ‘White’ kufanya uchafu na wake za watu, ni dhambi kubwa.

The 5star Paper, Risasi Mchanganyiko, limenasa picha ambazo zinamuonesha White akifanya vitendo vichafu na wanawake wawili, Janet na Sikuzani ambao imethibitika ni wake za watu.

Chanzo chetu cha habari kimepasha kuwa White aliwalaghai Janet na Sikuzani kwa fedha, kisha kwenda nao kwenye gesti moja iliyopo Manzese, Dar es Salaam ambako walifanya ufuska.

Kilidai kuwa Janet na Sikuzani ni wafanyakazi wa hoteli moja iliyopo Kata ya Manzese, Dar es Salaam na kwamba wanawake hao walishawishika baada ya kuhongwa shilingi 20,000 kila mmoja.

“Janet ameolewa kwa ndoa kabisa, yeye na mume wake wanaishi Magomeni tangu walipofika mjini, wakitokea kijijini kwao Usoke, Tabora miaka mitatu iliyopita. Huyo Sikuzani anaishi na mwanaume wake Tip Top, Manzese kwa miaka mingi sasa, kwa hiyo naye ni mke wa mtu,” kilisema chanzo chetu na kuongeza:
“Ni aibu, wake za watu wanashawishika kufanya hayo mambo kwa tamaa ya fedha, tena hela yenyewe shilingi 20,000, aibu sana. Huyo White aliwaambia kuwa wanapiga picha kwa faida yake. 

“Eti anataka kuweka kumbukumbu. Hao wanawake wenyewe sijui ni ushamba au uroho wa fedha, wakakubali kufanya huo uchafu na kupiga picha.”

MSAKO WA WATUHUMIWA
Baada ya kupata tuhuma kamili za watu hao, gazeti hili liliingia kazini na kuwasaka, wa kwanza kupatikana alikuwa ni White ambaye alipooneshwa picha alikuwa mbogo: “Wewe hizo picha umezipata wapi? Hizo ni kwa ajili yangu mwenyewe, hao wanawake wana waume zao, mtanitafutia matatizo hiyo habari ikitoka.”
White, aligoma kutoa ushirikiano kuhusiana picha hizo, badala yake alitaka aambiwe mahali ambapo mwandishi wetu alizipata.

Janet alikutwa kazini kwake Jumatatu (juzi), alipooneshwa picha alisema: “Sijui itakuwaje mume wangu akiona. Ila nyie wadaku mnapenda sana kufuatilia maisha ya watu. Andikeni hiyo habari halafu nitawaonesha kuwa mimi ni mtoto wa Kinyamwezi. ”
Sikuzani hakuweza kupatikana mpaka gazeti hili lilipokwenda mtamboni.

KUHUSU MAADILI
Huu ni uchafu kufanywa na watu. Inawezekana White ameona sawa lakini vipi kwa wanawake hao ambao ni wake za watu? Ni vizuri Watanzania wakaendelea kulinda maadili, kwani Ukimwi upo na bado unaendelea kuchanua, mpaka sasa hakujawa na tiba ya uhakika.