JIJI LETU

Tuesday, December 16, 2014

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA


 Jolly Tumuhirwe (22).
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.

Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
at 9:35:00 AM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • KUTANA NA SHAMSA HAPA NI MZURI MPAKA KAPITILIZA..
  • Matokeo ya Tuzo alizoshiriki Diamond kwenye MTV Africa Music Awards
  • KIBAKA ANUSURIKA KUUWAWA DODOMA MJINI BAADA YA JARIBIO LA KUTAKA KUIBA BASKELI
  • KURASA ZA MWANZO NA MWISHO MAGAZETINI LEO SEPTEMBER 26 2014
  • INASHANGAZA...AAMUA KUMN'GATA ULIMI MTU ALIYEMBAKA ILI KUPELEKA USHAHIDI POLISI.
  • AUNT EZEKEL Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake Na WEMA Kwa Sasa
  • Mke Anasa Picha Chafu Za Hawara...Bofya Hapa Kuziona!
  • HII NDIYO LIST KAMILI YA MASTAA WANAOTUMIA MAKALIO BANDIA YA KUVAA, ISOME HAPA
  • Magazeti ya Leo Jumapili ya Februari 21
  • Vigogo TRA Wakutwa na Mamilioni Nyumbani Kwao
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.