Sunday, December 21, 2014

KIM KARDASHIAN UKIMUONA MTAANI ANAVYOPENDEZA UTASEMA MTU SMART LAKINI HICHO CHUMBA ANACHOLALA HATA MBWA ANAWEZA ASILALE

Kim
Hapa alikuwa ashapendeza, unajua ndani kwake alikuacha kuna hali gani?
Kuna watu wengi ambao huwa wanapata tabu wakati wa kufanya maamuzi juu ya mavazi ya kuvaa wakati wa kutoka, huenda wewe ukawa mmoja wao lakini ishu ni kwamba je mpaka unapotoka ndani ya chumba chako, kinakuwa na mwonekano gani?
Sasa mama mzazi wa North, staa Kim Kadarshian kumbe ana tabu pia ya kufanya uchaguzi wa nguo ya kuvaa anapotoka ndani ya nyumba yake!
Kashare na sisi picha ya jinsi chumba chake kinavyoonekana wakati akiwa anachagua nguo ya kuvaa.
Kim-Kardashian-600x6001