Friday, December 26, 2014

NMB IMELETA KADI HIZI MAALUM KWA AJILI YA WATEJA WAKE AMBAO NI MASHABIKI WA AZAM FC

1 (1)
Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.
Benki ya NMB wameshirikiana na timu ya Azam FC jana na kuzindua rasmi kadi za wanachama wa klabu hiyo ambazo zitawawezesha kupata huduma za kibenki  za NMB.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo, aliwataka wanachama kuitumia huduma hiyo iliyoboreshwa na pia kuwa tayari kuiunga mkono timu yao kwa matokeo yoyote.
Afisa Mkuu  wa Fedha  wa NMBBarnabas Waziri alisema kuwa NMB itaendelea kushirikiana na Azam kukuza mpira hapa nchini na vile vile kuhakikisha kwamba mashabiki wa mpira wanapata nafasi ya kupata huduma za kibenki kwa urahisi na karibu zaidi.
Mmoja wa wanachama wa Azam FC akionyesha kadi yake ya NMB baada ya kukabidhiwa.
Mmoja wa wanachama wa Azam FC akionyesha kadi yake ya NMB baada ya kukabidhiwa.
1 (2)