Friday, December 19, 2014

PICHA: WAZIRI MWANAMKE WA JAMAICA AZUA MJADALA MTANDAONI KWA KUPOST PICHA AKIWA NUSU UTUPU

Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica ,
Lisa Hannah amezua mjadala kwa kupost
picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha
ya Bob Marley.
Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World
mwaka 1993, alipost picha hiyo kwenye
ukurasa wake wa facebook na kusababisha
mjadala juu ya picha hiyo, wengine wakisema
sio sahihi kwa kiongozi ambaye ni mbunge na
waziri kufanya hivyo, huku wengine wakisema
ni sawa.
Baadhi ya maoni:
Andrea Barrett
Whats wrong with it..is she wearing swim suit
to parliament???? Isn’t the attire appropriate
for the place she is at????? oh please!!!!!!!!
Edwin Walton
A little too revealing for a lady in her position,
extremely beautiful no doubt but remember,
she is the minister… and should be setting an
example for the young ladies to look up to
her.
Annette Apple Green
“The minister does not seem too acutely
aware of her public persona… very nice but i
think she should resist the urge to display
these photos.”
Corinne Matheson
Sorry at my age I never have that physique. I
wouldn’t have on anything. Leave her alone
let she show it off, cho, every damn thing
bother oonu
Don Crichton
Minister… I hardly noticed the bikini … what I
am seeing is a woman who is in a very
powerful place mentally… and more
importantly .. Spiritually.
Keddy-ann Batson
Mi say I don’t know what do some people.
You can’t please them….she’s at the beach for
god sakes.
Source: Jamaica-gleaner