Tuesday, December 23, 2014

VIDEO YA ALIKIBA YAPOKELEWA KIHIVI HUKO NCHINI KENYA!!



Video Ya Ali kiba imekuwa miongoni mwa videozilizozungumziwa sana mwezi huu baada ya Ali kutimiza ahadi yake kuwa kabla ya mwisho wa mwaka huu video bora ya wimbo wake ‘Mwana’ itatoka. Hili jibu la mtangazaji wa Citizen ya Kenya kwenye kipindi cha mseto baada yakutambulisha video hii. Kama Presenter uliyetambulisha video ya Ali Kiba Kenya, Imepokelewaje na watu wa Kenya, Impact yake imekuaje ?