Wednesday, May 13, 2015

WANANCHI WA BURUNDI WASHANGILIA KUPINDULIWA KWA RAIS NKURUNZINZA

Wananchi wa Burundi wakishangilia baada ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kupinduliwa.
Maandamano ya kushangilia yakiendelea mjini Bujumbura.
Wananchi wakiwa wamezunguka vifaru vya kijeshi Bujumbura.
...Wakiendelea na shangwe.
(PICHA: BBC SWAHILI)