Sunday, January 4, 2015

AMCHANA MAITI NA KUMWEKA KUKU TUMBONI!


"Ndugu huyo wa marehemu aliingia kaburini baada ya mchungaji kumaliza ibada ya mazishi na kuruhusu mwili wa marehemu ufukiwe, ndipo akaanza kuuchana kwa wembe, akachinja kuku, kisha kumwagia damu marehemu na kumwingiza kuku huyo kwenye tumbo la marehemu,akafunika jeneza na ndugu wakaendelea na mazishi”