Monday, January 19, 2015

ANATAKA KUGOMBEA UBUNGE:JUMA NATURE KUMNG'OA MTEMVU TEMEKE

Msanii nguli wa kizazi juma kasim kiloboto, atangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la temeke.lakn alishindwa kuweka bayana ni chama gan atatumia kutimiza lengo hilo, la kuwaondolea kelo wakaz wa temeke.lakn tetesi zinanyetisha kuwa awali ilikuwa atangaze nia kupitia chama cha kafu,lakn mh,sugu amemshaur, kugombea kupitia cdm jambo ambalo bado analifikiria.
BOFYA HAPA>>INASEMEKANA MMOJA WA VIGOGO WA ESCROW AMELETA HILI GARI LA KIFAHARI JANA