Monday, January 19, 2015

UCHOKOZI: KITU GANI MNAPENDA KWENYE MWILI WANGUUU? UWOYA ANAULIZA

Mrembo na mwigizaji  Irene Uwoya, hivi juzi kati aliwauliza swali followers wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kuwa kitu gani wanapenda kwenye mwili wake, mara baada ya kuweka picha yake hiyo hapo juu. Swali ambalo liliibua COMMENTS nyingi na LIKES za kutosha huku kila mtu akisema lake na wengine wakisema hili swali ni tata kidogo na wengine wakisema huu ni uchokozi....
KWAKO MWANAUME FAHAMU JINSI YA KUWA BABA MZURI KATIKA FAMILIA . HIZI HAPA NGUZO TANO

Sasa na mimi ni kaona sio mbaya ni share na wewe swali hili kwa kulileta hapa, nikiamini hapa kuana wadu na wapenzi wengi wa mwanadada huyu ili nao wafunguke;

Uwoya aliuliza;

Kitu gani mnapenda kwenye mwili wanguuu ?????

Kazi ni kwako!!!