Aunty Ezekiel |
Kitendo hiki kiliwafanya baadhi ya watu wenye imani tofauti na ukristu kuibuka na kuanza kumshambulia kwa maneno ambayo yalikuwa ya kiponda imani yake na huku baadhi ya watu nao wakijibu mapigo kwa kujibishana, kitu ambacho kilisababisha malumbano ambayo Aunt Ezekiel hakufurahishwa nayo na hivyo akaweka bandiko jipya ambalo lilisomeka kama ifuatavyo;
KURASA ZA MBELE, NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO JANUARY 20, 2015
"Dini ni Imani ya Mtu toka Moyoni mwake plz Ukijua dini yako inatosha usilazimishe kujua na yawenzako Naheshimu na Kuamini Dini zote mbili usitake kujua zaidi Alhamdulilaah kwa yote Muwe na jumapili Njema dah!"
Jamani tukubali kila mtu na imani yake, hata kama hauipendi ya mwenzako, mheshumu basi.
DUNIA KWISHA! WAKAMATWA NA POLISI KWA KUSHIRIKI MAPENZI YA JINSIA MOJA' USAGAJI' KISA HICHI HAPA