Baada ya wiki moja ya malumbano mtandaoni na king lawrence kumlaumu mrembo huyu kuwa anatumia muda mingi na mpenzi wake mpya Diamond platnumz kuliko watoto wake.
Mpenzi huyu mpya wa mkali wa Msanii wa Bongo Nasibu Abdul 'Diamond' ameamua kuwaonyesha wambea wake kuwa anawapenda wanawe na muda wote yuko nao.
Hizi ni baadhi ya picha akiongelea na wanae kabla ya shule kufunguliwa