ESCROW YAWASIMAMISHA WATUMISHI SABA WIZARA YA FEDHA
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Mwigulu Nchemba ametangaza kuwasimamisha kazi watumishi Saba wa wizara hiyo kupisha uchunguzi wa kashfa ya fedha za Akaunti ya Tegeta ESCROW,asema fedha za Escrow zilizotumika kiubadhilifu zingeweza kuokoa maisha ya wagonjwa wengi, hasa watoto.