Duuh Ndugu zangu na wadau wa mziki Tanzania, hakuna asiyemjua DAZ BABA toka anahit song ya #Namba8. Sasa hii picha nimetumiwa WhatsApp na watu walioko Morogoro na wakaniambia kuwa Daz Baba anaumwa na anahitaji msaada wetu Watanzania na marafiki zake Wasanii wa Bongo Fleva.
Nimewakilisha ujumbe kwa niaba ya wadau na mashabiki wa Daz Baba kutoka Morogoro, najaribu kufuatilia mahali alipo kwa hivi sasa huko Moro.
Nimewakilisha ujumbe kwa niaba ya wadau na mashabiki wa Daz Baba kutoka Morogoro, najaribu kufuatilia mahali alipo kwa hivi sasa huko Moro.