Jina la Mtangazaji Salim Kikeke sio jina geni, huyu ni Mtanzania ambaye ni mtangazaji wa Kituo cha BBC, Uingereza.
Hii ni makala ambayo imewekwa mtandaoni dakika chache zilizopita, inahusu ishu ya foleni Dar es Salaam.
Ndani ya makala hii kuna vitu ambavyo sikuwahi kuvijua siku za nyuma, kumbe kuna usafiri wa Helicopter za kukodi, inakupeleka popote unapotaka ndani ya Dar na utapishana na usumbufu wote wa foleni!
Unaweza kutaizama makala hiyo ya Salim Kikeke hapa, ina dakika moja na sekunde 30 tu
kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza Hapa