Wednesday, January 21, 2015

KUTANA NA MAPACHA WALIOUNGANA AMBAO WANASHARE MUME

                                               
Wanajulikana kwa majina ya Ganga pamoja na Jamuna Mondal wakiwa na umri wa miaka 45 waliongana wakiwa ni raia wa nchAi ya India walizaliwa mapacha,lakini cha ajabu ni kwamba wanashare bwana mmoja kutoka na na tatizo lao la kuungana kwa viungo vyao wakiwa na mikono minne na miguu mitatu wakijulikana zaidi kama Spiders Sister katika sehemu wanapo aishi,ndugu hao wanasemawalikaa kwa muda zaidi ya miaka saba bila ya kupata marafiki wakiwa shuleni

                                              
Ndugu hao wansema baada ya kukaa kwa muda mrefu walipata mchumba ambaye mpaka sasa ndio mume wao anajulikana kwa jina Ahmad ambaye ana umri wa miaka 36.Mapacha hawa wanesema toka waanzishe mahusiano na kijana huyu imekuwa faraja kwao kutokana wamepata chaguo sahihi la mtu anayepanda kwa upendo wa hali juu bila ya kujali hali zao hizi ni baadhi ya picha wakiwa pamoja na mpenzi wao Ahmad