PICHA MPYA ALIZOTOA MWANAMUZIKI MAUNDA ZORO NI SHIDA
Maunda Zorro Kwenye Pozi la Kimitego
Maunda Kwenye Pozi la Beach
Maunda Zorro Mwanamuziki wa Bongo Flava Ametoa Picha kadhaa mtandaoni akiwa katika mapozi tofauti tofauti ya utata kama unavyoyaona hapo juu...Maunda ni Mdogo wa Banana Zorro Mmiliki wa B Band..