Meli hiyo ya mizigo ina uwezo wa kubeba makontena 19,100 na ukubwa wake ni sawa na viwanja vinne vya kuchezea mpira.
Meli hiyo imesajiliwa Hong Kong na ilitentengenezwa nchini China, ina uwezo wa kubeba tani 57,000 ambao ni uzito mkubwa zaidi unaoweza kuchukuliwa na chombo cha usafiri duniani.
Ilisafiri kwa mwezi mzima kutoka Shanghai China hadi nchini Uingereza.