Anashika nafasi ya kwanza kwa wanawake akiwa na matiti makubwa kuliko wote lakin ni yale fake ya kuongeza ambapo jina lake ni Mayra Hills raia wa ujerumani.
Kila titi lake moja lina ujazo wa kilogramu 10 sawa na ndoo ndogo ya maji na anavaa brazia size ya 32 ambapo kwa wanawake wanajua kuhusiana na hili yaani zile nguo za kusimamisha maziwa, kama ujuavyo kuna wanawake wengine wanakuwa wanachukia miili yao sana lakini kwa huyu imekuwa ngumu na kila siku amekuwa akitupia picha zikionyesha maziwa yake yalivyo lol ebu tizama hapa chini ujionee