Saturday, January 17, 2015

ZAMARADI AFUGUKA KWAKUITAJA DHAMBI MBAYA SANA DUNIANI!


Hakuna Dhambi mbaya kama dhambi ya KUMKWAZA na Kumnyima raha binaadamu mwenzako... Bora hata dhambi kati yako na MUNGU wako kuliko dhambi ya kuhusisha binaadamu mwenzako na kumnyima amani ama kumuathiri kwa namna yoyote ile!!!! Na hapamara nyingi ndipo LAANA za moja kwa moja hutokea ama unaweza ukawa unapoteza BARAKA nyingi tu bila mwenyewe kujua.. kumbe kuna MTU ama WATU wanasononeka Juu yako... Hebu ustaa mavi wa INSTA usitufanye tujisahau sana na pia kwenye kila unalofanya anza kutafakari kwanza vipi ingekuwa MIMI!! then hapo ndio utaona ni mbaya kiasi gani..