Sunday, January 25, 2015

MARA BAADA YA MUHONGO KUJIUZULU NA JK KUTEUA WAPYA, ZITTO ATOA YA MOYONI!

Hiki ndicho alichokiandika Mhe. Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Face Book mara baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter muhongo kutangaza kujiuzulu mapema leo.
Na hiki ndicho alichokiandika mara baada ya uteuzi wa Mawaziri na manaibu Mawaziri wapya.
Wakati Sospeter Muhongo akitangaza kujiuzulu.
(Video hisani ya Michuzi)