Monday, January 26, 2015

MDAU AJICHORA JINA LA DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI KWENYE MWILI WAKE KATIKA SHOW YA TIGOKIBOKOYAO

Hii ni kali ya kuanzia mwaka 2015,kiharakaharaka
unaweza ukamuona huyu kijana ni mwehu, but all
in all siku zote hakuna kitu kizuri kama kuwa na
mapenzi ya dhati, yasemekana kijana huyu hata
ladha ya pombe haijui ikoje, maana unaweza
ukasema labda ni akili za pombe but no thats its
real love kwa msanii wake diamond, so mi
ningekuwa diamond ningemtafuta huyu kijana
nikafanya nae interview ili nipate kujua kiundani
why aliamua kufanya hivyo,shout to diamond and
zari popote walipo..