Monday, January 26, 2015

OMY DIMPOZ NA ODRIS SULTAN.WATEMBELEA AHULE YA MBEZI HIGH SCHOOL HUKU WAKIWA WAMEVAA UNIFORM TAZAMA PICHA

Ommy Dimpoz na Idris Sultan leo wameitembelea
shule ya Mbezi Hig School - shule wote walisoma
elimu yao sekondari. Dimpoz na Idris ambaye ni
mshindi wa Big Brother Africa 2014. Katika ziara
hiyo ya kushtukiza waliyofanya shuleni hapo -
walikwenda wakiwa wamevaa sare za shule hiyo
kisha kujitokeza wakati wanafunzi wa sasa wa
shule hiyo wakiwa assembly