Baada ya kutoa documentary ya mgogoro wa
ardhi Loliondo ikaleta utata, sasa kutoa ya pili. Na
baada ya hapo atakuja na documentary ya
kuonyesha jinsi biashara ya madawa
inavyofanyika nchini, atakuja na yale majina aliyo
nayo rais kikwete. Ameyasema hayo asubuhi
alipokuwa katika kipindi cha asubuhi
kinachorushwa live Clouds 360 clouds tv.
Akiongea kwa jazba amesema haogopi yeyote na
amejitoa mhanga.
------------------------
Try to make at least one person happy every day.
If you cannot do a kind deed, speak a kind word.
If you cannot speak a kind word, think a kind
thought. Count up, if you can, the treasure of
happiness that you would dispense in a week, in
a year, in a lifetime!