Sunday, January 18, 2015

MSEMAKWELI JAMANI HIZI STATUS ZA WHATSAPP SASA ZIMEANZA KUA KERO, USHAMBA NA UNAFIKI ULIOPITILIZA!

anezini nae,(boyfriend/girlfriend) hivi unajua maana
ya humble servant!? Shenzi we 2.wale wa rest in
peace "Rest in peace paul walker, you will live in
my heart forever " hivi mbona alivokufa mjomba
wako huko tabora ulikaa kimya, au unataka
tukuone wa Hollywood, haya kutoa fast furious ni
movie gani unayoijua ya paul walker! Nyoko acha
unafiki 3.wale wa mitihani sasa "busy with exams"
unamtangazia nani,? Kwanza mwanzo mwisho
unapiga chabo! Mbona matokeo hua hutupi!!?
Mbwa kabisa ndomana umekula div5 4. Ushamba
wa maeneo sasa "At KFC, goosh I love this place"
maskini bana, mtu anaenda kfc kila siku humuoni
akiutangazia ulimwengu ila ww uliejichanga sasa
unaweka hadi matarumbeta kwenye status 5. Wale
wanaojihisi ni akina lil wayne sasa "I dont care wat
my haters say, I just do my thing" ndugu yangu
huna kazi, elimu finyu, hela huna! Nani aku-hate
wewe? Em katafute hela paka shume we 6.haya
viwapenzi vilivyogombana "you will be sorry for
losing me,you will never get no one like me"
kwanza jamaa ako ameishafuta namba yako so
haoni status yako, pili sisi unatuambia ili iweje
sasa, tukuoe au!? Na tatu mwenzako kashapata
mzungu anashughulikia visa aruke ww kaa hapo
uswazi kwenu! 7. Na wale wa "kichuna wangu mie"
au "chezea mchuchu wewee" hahahha hawa ni
waswahili ngoja tuwaache haya mambo
wamevamia, ilibidi wabaki na vijembe vya kanga
ila tutafanyaje simu ni uhuru wa kila mtu! Siku
moja wata-evolve na watajidharau! MFIKISHIE NA
MWENZIO,USIONE AIBU HATA KAMA INAMGUSA