Tuesday, January 20, 2015

NYUMBA YA MHESHIMIWA KAPTEN JOHN KOMBA YAPIGWA MNADA

Nyumba ya Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni
Mstaafu, John Komba (CCM), yapigwa mnada.
Nyumba hiyo ipo Kinondoni Maeneo ya Mbezi
katika Jimbo la Kawe. Nyumba hiyo ipo katika
kitalu namba 1030. Habari hii imechapishwa
kwenye Gazeti la The Guardian la leo ukurasa wa
11.
Siku za nyuma Komba alikua anadaiwa na bank
ya CRDB millioni 900 aloshindwa kulipa. Hapo
nyuma alijenga Shule inayooitwa Bakil Muluzi
kule maeneo ya Mbweni, lakini biashara
haikwenda vizuri. Ile Shule haifanyi vyema sana
kibiashara. Nahisi hii ndo itakua sababu ya
Kupigwa mnada kwa hii nyumba.