Mrembo wa Ukweli na Blogger Maarufu Sintah Amecharuka na kutoa makavu kwa shabiki mmoja aliyeandika kwenye instagram kuwa Sintah anajipendekeza kwa Wanawake wa Diamond..
Shabiki anayeitwa Rahma_Rahyuuh Alifunguka Hivi:
"Ila we Sinta una Dhambi sana--yan Hakuna Mwanamke wa Diamond Baada ya Wema Ambae hukuwa ukijipendekeza nae ' we mwanamke unajua na haya hayana mmoja! Mungu tunaemuabudu ni mmoja na @wemasepetu nae mtu ! Ohhoo--Muumuze tu lakini aibu itakurudia mwenyewe"
Sintah Naye Akafunguka Hivi:

"Huyo Mungu unaemjua mshitakie mabaya yangu uone kama atajibu coz anajua whats going on, siwezi nikaelezea vitu vingine but my close pipo know so go ahead n curse....kwahio urafiki wangu na Zari unaingilianaje na huyo Wema??please ongea vitu vya maana na mwisho leo kuweka huu upupu hapa, maisha ya zari ni ya kwake naomba nieleweke mimi ni rafiki tu i can advise ila siwezi ku control maisha yake
Kuna watu hawawezi kumaliza siku bila kunitaja jina langu tena kwa herufi kubwa bila hata aibu , sasa mimi ninajipendekeza kwa wanawake wa Diamond wanisaidie nini kwa mfano? wao wana nini na mimi nina nini?
Narudia tena mie ni blogger n aweka kila jambo linalo husu mastaa, na huyo Zari mie nimemjua leo?? angalia calender yako vizuri labda unatumia za Ethiopia kuwa updated isitoshe labda wewe ndio unamuona zari ni malkia wako to me ni kawaida sana coz she is bin a friend ever since sio yeye tu familia yake nzima
halafu siwezi kumchagulia mtu maisha yeye kama anaamua kuwa Dimondo awe shemeji yangu kila la kheri kama ni Ivan sawaa yeye ndio anajua yupi mzuri kwake mimi sivai viatu vyake kujua maumivu gani anayapata " Sinta
Je wewe Msomaji Una Maoni Gani Kuhusu Hilo?