Mrembo na Mwigizaji Kutoka Tasnia ya Bongo Movies Amanda Posh Maji yamemfika Shingoni na kuamua kutapika kuhusu mashabiki wake wanao mponda kwa Tabia yake ya Kuvaa Nguo fupi za kuacha mapaja nje nje...Amanda Ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram....
“Instagrameee naipenda sanaaa..naipenda na watu wake nawapenda sanaaa coz ni sehem unayopangiwa uishi vipi,uvae vipi ,ulale wapi,uwe na bwana wa aina gani na ukikaa vibaya utapangiwa mpk chakula cha kutia tumboni tena kwa pesa yako...naomba ieleweke kila mtu anauhuru wake...kwangu me msinipangie mavazi wala jinsi ya kuishi,nikivaa nguo fupi ni me,niwe na miguu mibaya,mapaja mabaya ,sura mbaya haimuhusu mtu manina c mzae wenu mlikuwa mnasubiri mpk mama amandaazae ndio mkosoe mxiuuuuu....kuhusu nguo mtakosoa sana na makelele pigeni ila kuvaa vimini siachi maana hakuna anayenivisha wala kuninunulia...nanunua kwa pesa yng n kama mtu kuvaa nguo fupi anauza basi acheni kupiga kelele maana nauza papuchi yng sijaazima ya mtu.... Niwatakie usiku mwema wote hahahaaaa nawapenda sana”
Haya Kazi Kwako, Je Unamshauri nini ?