Baada ya Babu yetu Mh Wasira kuaziriwa na suti mbele ya watu kwa kufunga vifungu vibaya na kuwa gumzo kubwa mtandaoni na watu kumkejeli sana , unaambiwa sasa kaamua kuwakata watu vidomo kuanzia sasa
designer wake atakuwa ni Sheria Ngowi ...Mambo ya Single Button na Taxdo kwa Kwenda Mbele...Kiintanational Zaidi
Wewe unamwambia nini Mzee watu kwa Kuchukua Uamuzi Huo ?