Mmmh hapa cjaelewa elewa hivi... je, wewe mdau umeelewa??? Maana naona madam wanampima kitumbo... Habari za chini chini zinadai @wemasepetu tayari anaweza kuwa mama kijacho... Je, kama ni mama kijacho nani atakua baba wa huyo kijacho?? Tag rafiki zako nao wapate ubuyu huu... Habari za kuaminika zitawajia hapa hapa.. so hebu tuanze na hii kwanza huku ukweli unaendelea kupekuliwa. |