Tuesday, February 3, 2015
Matumizi Zaidi Ya 20 Ya Makopo Ya Maji Au Juice Baada Ya Kutumika (Picha Zaidi Ya 20)
1. Kutengeneza Kibanda Cha Mapumziko Kama Hiki
Kutengeneza Vizibo Vya Kufungia Bidhaa Kama Vyakula
Kupandia Maua
Kutengenezea Mtubwi
Kutengeneza Vikapu
Kupandia Maua Kama Hivi
Kutengeneza Dust bin
Kuezekea
Kutengeneza Kijiko Cha Kuchotea Sukari Chumvi au Majani ya Chai
Bustani ya Spinach
Kumwagilia
Green House Ndogo
Kuezekea Sehemu Ya Kupaki Gari
Newer Post
Older Post
Home