Tuesday, February 10, 2015

PICHA ZA UTATA ALIZOPIGA BATULI NA NJEMBA HIZI HAPA

Kila mtu anajua uzuri na raha ya picha, hizi ni za
mwigizaji Batuli akiwa na Joel Joseph wa
fresh120media siku ya sherehe yake ya
kuzaliwa.
Watu wanasema picha huzungumza, lakini Batuli
mwenyewe asema wao ni marifiki tuu, na sisi
tunakubali, lakini wapo ambao wanaona
kunachazaidi hapa....
Katika kuona picha hizi zina utataaa, kwenye
moja ya picha hizi Batuli aliandika kwa kumuliza
joel kiutani.
“ Can I ask u something!? Joel do u have a
girlfriend!? Maana nahisi kama utapigwa hivi......
Halafu unajua nina bae au hujui!? Unajua kazi ya
silaha hizi! ? (akaweka picha yavisu na bastola)
Wewe je utakubali wako atokelezee namna hii na
Me/Ke wako?