BAADA YA WASIRA KUTIA AIBU NA SUTI YAKE, ADAMU MCHOMVU AJITOLEA KUWA DESIGNER WAKE WA SUTI
Wasira wa Pili Kushoto akiwa na Viongozi wa Kanisa la Kisabato Uwanja wa Taifa huku Koti la Suti likiwa Limekosewa Kufungwa vifungo
Baada ya Suti ya aliyovaa Mh Wasira kuleta Ngumzo Mitandaoni , Leo Katika Kipindi cha XXL Clouds FM Mtangazaji Maarufu wa Kipindi hicho Adamu Mchomvu Amesema Kama Mh Wasira Atakubali Anajitolea kuwa Designer wa Suti zake za Mitoko ili Asitie Aibu Tena