Wednesday, February 18, 2015

SNURA AWASHANGAZA WENGI KWA UFUNDI WAKE WA KUKATA NYONGA .. JAPO KWA SASA AMENENEPA SANA

hivi majuzi msanii snura alidondosha bonge la show iliyoandaliwa na efm maeneo ya msasani beach club... kikubwa kilichowavutia wengi ni kutokana na snura kuonwkana amenawiri sana .. lakini hilo halikumganya kuacha asili yake ya kukata nyonga kiufundi jambo ambalo liliwafanya waaume kulipuka kwa shwangwe. kwa wanaomkumbuka snura wakati yuko bongo movie na sa hvi tofauti.. inaonekana kwenye mziki mkwanja upo sana