
Aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini Ndugu Zitto Kabwe
amesema hatagombea nafasi ya Uenyekiti katika chama alichojiunga nacho hivi karibuni cha ACT.
Amesema hayo muda mfupi kupitia redio E FM katika kipindi
katika mahojiano kinachoitwa 'Mezani'.
Zitto anasema tayari nafasi zote zimeshajazwa fomu na zimerudishwa tayari na yeye hakujaza fomu za kugombea.
Anasema wote wale waliosema amekwenda ACT ili
awe kiongozi watakuwa wameumbuka.