Katika dunia ya utandawazi basi watu wamezidi kuchukua fursa na kuishi kimagumashi gumashi kama wapambe wa town wanavyodai lakini asikwambie mtu hako kabishara kanawalipa hawa mashostizo walio amua kuwekeza kwenye maumbo yao kuyaanika mitandaoni huku mitandao kama instagram , facebook na tweeter ikiongoza kwa kuwang'arisha hao wahusika na kufikia hadi sehemu ya kupiga show!! utafikiri nguli wa muziki vile kumbe ni upaja tu kudadeki !!!
SIFA ZA MSHIRIKI WA HII KITU NI MOJA: hakikisha umejaaliwa kama sio umbo basi rangi na upaja wa haja na utupie nguo za kihasara hasara utashanga follower kibao kama unamiliki kiwanda vile duh!!
kama hujui hii inawapa kiki sana kina dada kama agness masogange, vera sidika , corazon kwamboka, huddah monroe, na Zari kwa afrika mashariki wakati marekani usishangae mtu kama amber rose akiishi kifahali tu na kazi maalumu anayofanya huilewi mara ghara anakula mikataba ya matangazo heee mara diamond au wiz khalifa kaijichanganya duh kudadeki kweli mjini mipango watu wanachukua fursa wana tiririkaaaa tu na minoti ya mapedeshee wa mjini .
mfano hili ni tamasha lililo andaliwa huko nchini kenya kwa kuwepo tu huddah na Zari (shemeji) watu wanalipa mkwanja kama kawa aiseeeee !!