Diamond Platinums akibusu Tumbo la Mpenzi wake Zari the big Boss Lady leo zanzibar walipokuwa Mapumzikoni mara baada ya Diamond Jana usiku kuangusha Bonge la Show bab kubwa Katika viwanja vya Ngome Konge Zanzubar.
Zari ambaye ni Mjamzito wamwkuwa wakitenda Vyombo vya habari Pamoja na Mitandao ya Kijamii kutokana na Uhusiano wao,Katika Mitandao ya Kijamii kwa sasa Ni Nadra sana Kupita siku mbili bila uhusiano