Mwenyewe Huyu Hapa Anaelekeza Kilichotokea airport Mpaka Akashtukiwa na Kupewa Onyo Kali
"Siku nilivyokua nasafiri ktk uwanja wetu nikasimamishwa ktk chumba flani hapo air port kuhojiwa na kupewa onyo juu madawa ya kulevya na nikaambiwa kuwa siku Jack alivyo pita walimpa onyo Kama walilo nipa mm matokeo yake ndio ilikua safari yake ya mwisho ndio akakamatwa- na hata nilipo fika safari yangu nikahojiwa hivyo hivyo baada ya kufika HK kwa hivyo inaonekana wazi ambavyo hii biashara imekua kubwa Tanzania maana kila unapo pita wana kushuku na mm huwa inanitokea Mara kwa Mara na kuna Mara moja nilisha sachiwa sana CHINA na mpaka kupigwa ex ray - na mbali na madawa kuna mambo mengi yanaendelea ambayo si mazuri ikiwemo wizi- ku over stay na upumbavu mwingi ambao unatusababishia matatizo madogo madogo sisi raia wema .... Kiufupi ni kwamba nyinyi wote mnao fanya hizi biashara lzm mjue mnaikosea nchi yetu- manatukosea watanzani manazikosea familia zenu na mwisho wa siku biashara hii inakupeleka jela ukiwa tayari umemkosea kila mtu zaidi na kizazi chako" Faiza ally