Thursday, April 16, 2015

Karibu uyacheki makazi mapya ya Boss Roman Abramovich… Kumbe huu mjengo zamani ulikuwa Hotel !!

hotel3
Chelsea iko nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi kuu ya England ikiwa na pointi zake 73 na imepania kuchukua ubingwa msimu huu.
hotel
Boss wa Klabu hiyo, Roman Abramovich ametoa kiasi cha paundi milioni 17.1 na kununua hotel ya kifahari iliyoko Israel ili aigeuze makazi yake mapya ndani ya nchi hiyo.
hotel3
Raia huyo wa Urusi amenunua hotel hiyo ambayo ilikuwa inaitwa Varsano Hotel iliyopo katika mji wa Tel Aviv ambayo ina kila kitu ndani yake.
hotel2
ABRA
came
.
Boti ya ABRA
Hii ni Boti yake ambayo kwa sasa iko kwenye ukarabati mkubwa Ujerumani.