Friday, April 3, 2015

ORODHA YA WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA EPL.


Ligi kuu ya Uingereza imezidi kusisimua tangu kampeni ya msimu 2014-2015 ianze huku baadhi ya timu zikionyesha viwango vya hali ya juu sana wakati nyingine zikionekana kuhaha.
Baadhi ya wachezaji wamekuwa wakitoa mchango mkubwa sana katika timu zao na kuhakikisha zinapata matokeo yaliyo mazuri kwenye kila mchezo.
Wachezaji ishirini wameingia katika kinyang'anyiro cha kuwania uwanasoka bora wa mwaka wa Ligi hiyo maarufu zaidi duniani ambapo watachujwa na kubakia sita ifikapo mwezi Mei.
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wanaopewa nafasi ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu huu:
Wafungaji bora EPL.
#MchezajiTimu
1Eden HazardChelsea
2Harry KaneTottenham Hotspur
3Diego CostaChelsea
4Sergio AgüeroManchester City
5Cesc FabregasChelsea
6Alexis SanchezArsenal
7David de GeaManchester United
8Raheem SterlingLiverpool
9David SilvaManchester City
10Philippe CoutinhoLiverpool
11Santi CazorlaArsenal
12Wayne RooneyManchester United
13Thibaut CourtoisChelsea
14Christian EriksenTottenham Hotspur
15Nemanja MaticChelsea
16Yaya ToureManchester City
17Chris SmallingManchester United
18Daniel SturridgeLiverpool
19Robin van PersieManchester United
20Steven GerrardLiverpool