JIJI LETU

Wednesday, April 22, 2015

Watu 10 Wafariki Dunia Baada ya Basi la kampuni ya Unique Kugongana na Gari la Coca Cola


Habari  zilizotufikia  zinaarifu  kuwa  basi la Unique lenye namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora limegongana uso kwa uso na lori la kampuni la Cocacola katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye Shinyanga.

Watu 10 wamefariki na  50 wamejeruhiwa.Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.






at 9:57:00 PM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • KURASA ZA MWANZO NA MWISHO MAGAZETINI LEO AUGUST 15 2014
  • Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 4
  • KURASA ZA MWANZO NA MWISHO ZA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 31,2014
  • HAYA NDIYO MAMBO YA MINZIRO, NI BURUDANI YA ZIADA ZAIDI YA DAKIKA 90 ZA MCHEZO UWANJANI
  • WEMA AFANYA KUFURU KWA MAGUFURI JANA:AMWAGIA DOLLA MAGUFURI KUMTUNZA AKIPIGA NGOMA
  • HATARI:WATOTO KUANZIA MIAKA 10 KUPEWA KONDOMU BURE NA DAWA ZA KUPANGA UZAZI!!
  • Wabunge wa upinzani watoka tena bungeni leo
  • DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA WA ALI KIBA - WIFE WA DUNIA
  • WATUMIAJI WA MITANDAO VIBAYA SHERIA KUWADHIBITI KUANZA LEO SAA 6:00 USIKU
  • Lowassa Aitikisa Nchi Wakati Wa Kutangaza Nia Ya Kugombea Urais....Bofya Hapa Kuona Picha
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.