Nimevumilia lkn nimeshidwa jamani.. #Nuh_mziwanda ni mchizi wangu wa karibu sana na nimeanza kufahamiana naye Long tym sana na hata kazi zake akitoa mie namsaidia kuzipush ktk #Media za za #Dodoma hata meneja wangu @erickwangu analifahamu
hilo,Hivyo basi bila ubishi #Shishi ni my shem, Ila kwa styl hii daaaa nimeshidwa kuvumilia nikaona ni bora tu share watu wangu wa#udaku_wa_JIJI LETU kuwa hii ni sawa jamani? Kumbuka hapo sio Tanzania, Ni mamtoni ambako alikuwa anapiga show, Sasa jiulize wao watatuchukuliaje sisi watanzania?? Kama msanii ambaye ni kioo cha jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii kupitia sanaa yake, Sasa cjui anatuelimisha kwa kutuonyesha manyonyo yake au la?? Ila mie sijui