BREAKING NEWZZ...AJALI YA BASI LA SUPER FEO TOKA MBEYA KWENDA SONGEA LATUMBUKIA MTONI
Basi LA Super Feo la Mbeya Songea latumbukia mtoni Leo asubuhi. Superfeo ya kutoka Mbeya kwenda Songea inetumbukia mtoni baada ya kuovertake na kukutana na lori mbele yake kisha kudumbukia mton karibu na eneo la Pipeline Inyara. Taarifa zaidi zitafuata kadri tutavyoweza kuzipokea.