Mdada huyu anasema amekoma na anawaonya wakina wadada wengine wasifanye hivyo.
Anadai kwamba lengo lake lilikuwa zuri kujaribu kukimodify au kukirekibisha kifua chake ambacho
hakikuwa na shepu ya kuvutia hapo awali.
hakikuwa na shepu ya kuvutia hapo awali.
Ndipo alipoamua kumuajiri mchina amuweke vizur lakini mchina huyo akahamisha sehemu za nyuma kuja mbele.