Sasa ubuyu uliopo mtaani ni kuwa sababu za yeye kushindwa kuhudhuria party hiyo ni mtoto wa Mahita a.ka Tajiri mutoto, inasemekana walikutana pale Hotelini na kuanza kupagawishana na kusahau kila kitu ..Mwendelezo wa hao wawili ulihamia kwenye visiwa vya Zanzibar kama Picha zinavyoonyesha hapa chini kwenye picha ambapo kila mmoja alikuwa akipost picha wakiwa kwenye Boti..ukiangalia kwa makini hilo ni Boti Moja Japo Hawakupiga Picha ya Pamoja...
Wednesday, May 6, 2015
Huddah Monroe Apagawishwa na Mtoto wa Mahita Mpaka Ashindwa Kuhudhuria Party ya Zari All White Party