Sunday, May 3, 2015
JINAMIZI LA AJALI BADO LINAIANDAMA TANZANIA:: AJALI NYINGINE YAUA 3 NA KUJERUHI 15
Basi la Nyagawa Express kutoka njombe limepata ajali na kupinduka eneo la Mwidu Morogoro.
Katika ajali hiyo watu watatu wamepoteza maisha na majeruhi 15.
Newer Post
Older Post
Home