Saturday, May 16, 2015

MCHEKI MSANII HUSSEIN MACHOZI ALIVYONASWA NA MCHEPUKO WA KIDHUNGU, NI BAADA YA KUMTELEKEZA MKE WAKE WA KIMOMBASA

Kama ulikuwa unajiuliza
Hussen Machozi Yupo wapi baada ya kupotea
kwenye Ramani ya Muziki basi leo utapata jibu
hapa.
Hivi Karibuni Mwanamke mmoja wa
Kimombasa alisikika kwenye vyombo vya
Habari na kusema walifunga ndoa na Hussein
machozi kwa Siri na baada ya ndoa Hussein
Machozi Akamtelekeza ..Sasa habari mpya ni
kuwa Hussein Machozi Ametulia kimapenzi
kwa Mzungu kwa sasa na Ameshikiliwa
Kinoma kiasi cha kwamba afurukuti kwa
mzungu huyo..na labda ndio sababu ya kimya
chake katika Muziki..