Wednesday, May 20, 2015

MGOMO WA WANACHUO UDSM WATIKISA...MABOMU YARINDIMA

Screen Shot 2015-05-19 at 7.26.12 PM
Jana kulikuwa na stori kwenye vyombo vya habari kuhusu wanafunzi wa Chuo cha Saint John Dar kugoma wakidai kutopewa pesa zao za kujikimu kutoka Bodi ya Mikopo.. leo hii stori imerudi tena kwenye headlines.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar  nao wamefanya mgomo leo kwa kutokuingia darasani, madai yao ni kupatiwa pesa za kujikimu ambazo hutolewa na Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa Vyuoni.
Migomo mingi huwa inakuwa na vurugu, lakini huu waliufanya kwa utulivu huku wakisuubiri uongozi wa chuo kutolea majibu malalamiko yao.
Screen Shot 2015-05-19 at 7.25.31 PM
Screen Shot 2015-05-19 at 7.26.00 PM
Screen Shot 2015-05-19 at 7.26.12 PM
Screen Shot 2015-05-19 at 7.26.20 PM
Mmoja wa viongozi wa Serikali ya wanafunzi akiongea na wanafunzi
Screen Shot 2015-05-19 at 7.26.30 PM
Wanafunzi wamekusanyika eneo la kantini
Screen Shot 2015-05-19 at 7.26.38 PM
Unaweza kusikiliza hii sauti hapa chini kutoka kwa mmoja wa viongozi wa Wanachuo…