Tuesday, May 19, 2015

NUHU MZIWANDA UMEZIONA HIZI, TAZAMA SHILOLE ANACHOFANYA NA MZUNGU HUYU

Kutana na Shilole, mwigizaji aliyechukua headline na kwenye bongofleva pia ambayo anakiri kwa kiasi kikubwa ndio imeyabadilisha maisha yake kiuchumi.
Bado headlines zake za Belgium zinaendelea ambapo leo hii hizi picha akiwa anafanya video yake mpya ya ‘Malele’ hukohuko Belgium ambako alikwenda kufanya show akaamua atumie gharama
nyingine kutengeneza video yake mpya ambayo inatarajiwa kuwa yenye ubora zaidi.