Sunday, June 21, 2015

BAAADA YA LADY JAY DEE KUUMIZWA SANA NA MAPENZI AAMUA KUJIPOZA HIVI

Lady J Dee baada ya kukimbia kwa mumewe Gadner G Habash kwa sababu za kunyanyasika kwenye ndoa.Ameamua kujisahaulisha shida hizo kwa kujinunulia zawadi ya vito vya dhahabu na kuonesha kujijali mwenyewe.Mwanadada huyo ambaye kwa sasa hana mpenzi amekua mpweke akijikuta anaishi na Mokonyo mtoto wa mdogo wake kama  mtu anayemchangamsha na kumtoa upweke huo.